Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
- Thread starter
-
- #41
baada ya martin luther watu walikutukia kwamba kumpa mchungaju hela ili hakusamehe zambi unazokuja kutenda si ukristo, pia kanisa lilikuwa linanyonya waumini, papa hajatajwa kwenye biblia, na tamaduni nyingi za dini hazina ukweli (mfani jinsi misa zanvyo endeshwa): ila hii sio point yanguhalafu sasa baada ya luther ndio nini kimegundulika,ambacho unahisi kilikuwa kinafichwa???
yaani wewe huna tofauti na wale wanaosema Yesu alizushiwa kwamba hakuoa!!!unajiuliza logic ya kumzushia ilikuwa ni kwa faida zake,au zao hao waliomzushia??
sijui ni swali gani ambalo umeuliza!!!!
mbona mnaishi kwa ndoto,na hamtaki kutumia logic kwenye maisha ya kawaida!!!hii ni kweli kabisa, kwani haujishtukii kwanini nchi zilizoleta dini ya kikristo na zilizoandika biblie zimeacha kuamini ukristo kwa speed ile?
Tena huko watu wa copy za biblia za mwanzoni; gospels original si tafsili za kiswahili na bado wameanza kupuuzi dini
nimekuuliza Mungu ni nani??baada ya martin luther watu walikutukia kwamba kumpa mchungaju hela ili hakusamehe zambi unazokuja kutenda si ukristo, pia kanisa lilikuwa linanyonya waumini, papa hajatajwa kwenye biblia, na tamaduni nyingi za dini hazina ukweli (mfani jinsi misa zanvyo endeshwa): ila hii sio point yangu
kwani point yangu ni: tuelezee kuhusu mungu wako
mi nasikiliza nikijiandaa
Kwani fact gani inayoonesha aliyekinyume na wewe ni lazima umshinde kimaarifa?sasa mpumbavu anatushindaje wakati yu kinyume chetu!!!
sisi tunaamini Mungu yupo.
hujanijibu mkuuhii ni kweli kabisa, kwani haujishtukii kwanini nchi zilizoleta dini ya kikristo na zilizoandika biblie zimeacha kuamini ukristo kwa speed ile?
Tena huko watu wa copy za biblia za mwanzoni; gospels original si tafsili za kiswahili na bado wameanza kupuuzi dini
Ndugu huoni uchafu uliofanywa na watu wa dini zenumbona mnaishi kwa ndoto,na hamtaki kutumia logic kwenye maisha ya kawaida!!!
dunia ya leo kinachofifia sio dini tu,hata adabu baina ya lika na lika zinafifia,zamani ilikuwa ni laana kitembea na mama lika la mzazi wako,siku hizi kuna video mpaka vibibi vinaliwa na wajukuu.
nenda china kajifunze ubudha na uhindu,utakutana na utandawazi unazifubaza pia.
lakini kati ya hayo makundi melfu kwa malaki,bado wapo watu na imani ile ile.
kusoma dini yoyote na kuitafakali kunakufanya usiamini, ni simple tuhujanijibu mkuu
unaleta fact tena[emoji38][emoji38]umesahau andiko umelitoa wapi na lilielekezwa kwa watu gani??Kwani fact gani inayoonesha aliyekinyume na wewe ni lazima umshinde kimaarifa?
We unaamini mungu yupo halafu unajiona uko sahihi, wakati hiyo ni betting
Sasa unakataa fact unataka utumie nini kama mbadala kujenga hoja?unaleta fact tena[emoji38][emoji38]umesahau andiko umelitoa wapi na lilielekezwa kwa watu gani??
yeye asiyeamini ni mpumbavu kwa wanaoamini,au kinyume chake.
haaya.Sasa unakataa fact unataka utumie nini kama mbadala kujenga hoja?
Biblia haijasema asiyeamini ni mpumbavu kwa wanaoamini, huo ni uzushi ambao umeutengeneza wewe kwa fikra zako uutumie kudhihaki wakristo
unaandika haya yote ukiwa unajua kabisa huu sio msimamo wa dini wala Mungu mwenyewe bali ni baadhi ya wafuasi wake.Ndugu huoni uchafu uliofanywa na watu wa dini zenu
utumwa uliletwa na watu wenye dini na kulindwa kwa msimamo wa dini: mtu mweusi ni thelusi ya mtu mweupe, maneno ya makanisa ya marekani na ulaya.
waarabu walileta uislam pamoja na kugeuza baba, babu, dada, mama zetu kuwa watumwa; kwani ni sahihi kumtumisha asiye muislam
bado, miji mingapi imebakwa, kuchomwa moto, wananchi kuuwawa kisa dini
haya, tuongelee kanisa katolilku, miaka ya 70, ubakaji wa watoto ambapo kanisa lilijua na liliwaficha wabakaji (barua na kanisa limekili)
nchini pakistani and afghanistan, dini iliposhamiri, dada wako akibwakwa na kundi la watu (inatokea mara kwa mara) unapaswa kumuua na wabakaji hawapelekwi mahakamani
usisahahu: Alshabab, ISIS, Alqaeda, KKK, republican party, Hezborah: zote hizi ni organisation za kibaguzi zilizoshamiri enzi zile za dini kila sehemu na mpaka sasa...
nakushangaa unapo-oanisha dini na maadili..kha
kusoma dini yoyote na kuitafakali kunakufanya usiamini, ni simple tu
Elimu na fikra ni adui ya dini
ujinga na kufuata msululu ndivyo vinavyo paswa ndani ya dini
Mkuu KILANGA nitagg nahitaji hicho kitabu as January assignment please!!Nilihoji kwa muda mrefu.
Halafu rafiki yangu mmoja, nilipokuwa na miaka takriban 20, akaniazima kitabu kinaitwa " The Philosophy of Religion - An Anthology".
Kitabu kimejaa habari za dini. Si za kupinga uwepo wa Mungu tu, bali mpaka arguments za kuonesha Mungu lazima yupo.
Nimekisoma kitabu chote. Na kukirudia sana.Kimekusanya karibu mambo yote kuhusu dini.
Kuna sehemu ilikuwa inaongelea "the problem of evil".
Hapo palikamilisha vizuri safari yangu kusema Mungu hayupo.
Nilishawahi kukiweka kitabu hapa.
Kutoka hapo, sijarudi nyuma.
Swali lako la kwanza nitalitolea ufafanuzi Kama ifuatavyo.. mkuu kuhusu Mungu nachohitaji ni kuhusu kuthibitika uwepo wake na Kuna tuswali swali fulani ambapo ningependa nimuhoji yeye na sio nyinyi waumini wake maana kwenu nishauliza na hamna majibu! Kwanza mpk Leo hamjaweza kuthibitisha uwepo wake! Kitu ambacho nimetoka na conclusion kuwa heri hilo swali kumuuliza yeye kuliko nyinyi,kwani kwa mujibu wa vitabu vyenu ni kuwa yeye anauwezo wote so nafikiri hili ni dogo kwake kuliko kujisumbua sisi tunaohangaika hata na korona!.1. ^Siku nikimjua Mungu nitamwabudu hadi afurahi^ Kumbuka Mungu siyo kama chungwa unaloweza kulifanyia cross-section dissection ukachunguza components zake kama citrus acids, viasili vya vitamins C, antioxidants, the simplest elements like C, H etc. If you have such an idea, basi jua prosposition yako imeanzia wrong end na not long inaelekea kwenye dead end. How much of God must you know before you can fully trust Him!???
2. ^Mimi nimeisoma Biblia kiundani^ You are talking. Pls share hivyo vitu ambazo umegundua baada ya kuisoma Biblia ^kiundani.^ I am more than eager kuzifahamu.
3. ^Inashindikana nini kuifanya miujiza sasa hivi kama wakati wa zamani?^ I believe miujiza, countless, enormous, fascinating and terrific are happening even of now as I am typing these little words. And they will continue occurring ^ad infinitum.^