Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
- Thread starter
- #41
baada ya martin luther watu walikutukia kwamba kumpa mchungaju hela ili hakusamehe zambi unazokuja kutenda si ukristo, pia kanisa lilikuwa linanyonya waumini, papa hajatajwa kwenye biblia, na tamaduni nyingi za dini hazina ukweli (mfani jinsi misa zanvyo endeshwa): ila hii sio point yanguhalafu sasa baada ya luther ndio nini kimegundulika,ambacho unahisi kilikuwa kinafichwa???
yaani wewe huna tofauti na wale wanaosema Yesu alizushiwa kwamba hakuoa!!!unajiuliza logic ya kumzushia ilikuwa ni kwa faida zake,au zao hao waliomzushia??
sijui ni swali gani ambalo umeuliza!!!!
kwani point yangu ni: tuelezee kuhusu mungu wako
mi nasikiliza nikijiandaa