Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
7,981
Reaction score
17,743
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.

Nimejiunga JF kama miaka 3 inakata sijapokea msg yoyote hadi nimejishtukia,

Kuna member ambae ana mwaka zaidi ya mmoja na hajawahi kutumiwa msg pm tangia ajiunge?


 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Acheni sie wengine wenye mazali yetu tuendelee kuwatafuna taratibu kuku wa JF kupitia hizo PM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…