Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Me mchawi wangu huyu hearly ndio anabana nyota yangu tu namlia timing tu!.
Lakini usipende PMs nilipata moja eti mtu anajifanya alikosea wa kumtumia sms nikajiuliza mpaka una click jina langu bado tu hujajua ni nani unamtaka!..
 
Mkuu naona leo "" tusio tumiwaga MSG PM tumekumbukwa ..daaahh """
 
Sisi wengine "" sijui tulilala na bundi "". maana mpaka tumeshasahau matumizi ya hicho kitufe cha PM ""......
 
Watu tuna Id fake na humu kwenye majukwaa tunajiachia kupita kiasi! Pm za mapenzi za nn!!!? Nani ana uhakika kuwa demiss ni ke? Una uhakika upi kama Gentamycin sio wale wasojulikana? Ukitaka hayo nenda fb uko mkuu wapo wengi wanadangika kule humu utaishia kutekwa tu utapokuta MAMA SABRINA ni Dume la haja! Au SKY ECLAT ni mtu wa kitengo!! Endekeza pm utakuja na mrejesho ukifanikiwa kutoka hai.
Kama nilivyomteka Melvin wangu
 
Back
Top Bottom