theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kumbe tuko wengi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demiss nitumie na mimiNgoja nikutumie mkuu
Ha haha haha kweli mdomo "bakuli "" waambie aiseee"" waelewe "Watu tuna Id fake na humu kwenye majukwaa tunajiachia kupita kiasi! Pm za mapenzi za nn!!!? Nani ana uhakika kuwa demiss ni ke? Una uhakika upi kama Gentamycin sio wale wasojulikana? Ukitaka hayo nenda fb uko mkuu wapo wengi wanadangika kule humu utaishia kutekwa tu utapokuta MAMA SABRINA ni Dume la haja! Au SKY ECLAT ni mtu wa kitengo!! Endekeza pm utakuja na mrejesho ukifanikiwa kutoka hai.
Hivi Swahiba na wewe hujawahi pata PM eeee?Nitumie na mimi,ila mr ndumba ndumba asijue
kimyakimya hahahahahahaAcheni sie wengine wenye mazali yetu tuendelee kuwatafuna taratibu kuku wa JF kupitia hizo PM...
Mie pia niko ka wewe Mbalizi. [emoji12] [emoji12] Hivi ndio nini PM. Hahahaaaa.Hiyo pm inakuaje kuaje wandugu?
Ntumie na mimi niondoe gundu[emoji3]Ngoja nikutumie mkuu
Na wewe pia hujawahi fika huko PM kumbe. Aiseeeeee. Hahaaaaa.Ntumie na mimi niondoe gundu[emoji3]
ILA usimwambie mshana atanitoa tezi dume usoni[emoji23]
HahahahaaaaMie pia niko ka wewe Mbalizi. [emoji12] [emoji12] Hivi ndio nini PM. Hahahaaaa.
Hebu tusubiri wajuzi watuambie kufika nauli yake sh ngapi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naisikiaga tu kwa watu hata sijui inafananaje[emoji3]Na wewe pia hujawahi fika huko PM kumbe. Aiseeeeee. Hahaaaaa.
Hahaaaa. Inabidi tuweke kambi kwenye huu uzi aisee huenda tukajua hiyo Piemu inafananaje.Hahahahaaaa
Mara nyingi tu nasoma humu watu wanazungumzia piem piem - ipoje hiyo piem?
Mbona wengine hatupati hiyo makitu ?
Mmh hata siaminiMie pia niko ka wewe Mbalizi. [emoji12] [emoji12] Hivi ndio nini PM. Hahahaaaa.
Hebu tusubiri wajuzi watuambie kufika nauli yake sh ngapi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Daaaaaaah! Nikajua Hajar kaja walau atanijuza lolote kuhusiana na hiyo makitu kumbe na wewe hujui lolote kama mimi![emoji3] [emoji3]Hahaaaa. Inabidi tuweke kambi kwenye huu uzi aisee huenda tukajua hiyo Piemu inafananaje.
Hahahaaa. Nashangaa hata mie ujue.
Hahaaaa. Amini tu bana.Mmh hata siamini
We unakosaje PM?
Tena wadada ndo mnapataga nyingi[emoji3]
Hahahh..Hahaaaa. Amini tu bana.
Mie sinaga hizo piemu. Hahaaa. Sijui kama ni kweli usemalo Mkuu.
PM..Private MessageHahaaaa. Inabidi tuweke kambi kwenye huu uzi aisee huenda tukajua hiyo Piemu inafananaje.
Hahahaaa. Nashangaa hata mie ujue.
Hahahaa. Sina njualo Mbalizi. Niko ka wewe tu. [emoji85] [emoji85]Daaaaaaah! Nikajua Hajar kaja walau atanijuza lolote kuhusiana na hiyo makitu kumbe na wewe hujui lolote kama mimi![emoji3] [emoji3]
Duuuuuuuuh!!Hahahaa. Sina njualo Mbalizi. Niko ka wewe tu. [emoji85] [emoji85]