Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Watu tuna Id fake na humu kwenye majukwaa tunajiachia kupita kiasi! Pm za mapenzi za nn!!!? Nani ana uhakika kuwa demiss ni ke? Una uhakika upi kama Gentamycin sio wale wasojulikana? Ukitaka hayo nenda fb uko mkuu wapo wengi wanadangika kule humu utaishia kutekwa tu utapokuta MAMA SABRINA ni Dume la haja! Au SKY ECLAT ni mtu wa kitengo!! Endekeza pm utakuja na mrejesho ukifanikiwa kutoka hai.
Ha haha haha kweli mdomo "bakuli "" waambie aiseee"" waelewe "
 
Mie pia niko ka wewe Mbalizi. [emoji12] [emoji12] Hivi ndio nini PM. Hahahaaaa.

Hebu tusubiri wajuzi watuambie kufika nauli yake sh ngapi.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaaaa

Mara nyingi tu nasoma humu watu wanazungumzia piem piem - ipoje hiyo piem?

Mbona wengine hatupati hiyo makitu ?
 
Mie pia niko ka wewe Mbalizi. [emoji12] [emoji12] Hivi ndio nini PM. Hahahaaaa.

Hebu tusubiri wajuzi watuambie kufika nauli yake sh ngapi.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmh hata siamini
We unakosaje PM?
Tena wadada ndo mnapataga nyingi[emoji3]
 
Hahaaaa. Inabidi tuweke kambi kwenye huu uzi aisee huenda tukajua hiyo Piemu inafananaje.

Hahahaaa. Nashangaa hata mie ujue.
Daaaaaaah! Nikajua Hajar kaja walau atanijuza lolote kuhusiana na hiyo makitu kumbe na wewe hujui lolote kama mimi![emoji3] [emoji3]
 
Hahaaaa. Inabidi tuweke kambi kwenye huu uzi aisee huenda tukajua hiyo Piemu inafananaje.

Hahahaaa. Nashangaa hata mie ujue.
PM..Private Message
Kutumiwa msg inbox
Kuchat na mtu, wewe na yeye tu
 
Back
Top Bottom