Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Mimi sinakipaji cha kuchora, lakini hisia zilinipeleka mbali sana nikaichora sura yako. Sura yako inavutia sana hasa nilipochora macho yako mazuri na mashavu yenye tabasamu kama kwenye avatar yako.

Just imagine, Jf hatuonani lkn nimeichora picha yako nzuri. Nikutumie pm?
Bro uko vzuri [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naisubiri hiyo picha.
Nime ku-pm picha yako
1528069008091.jpg
 
Back
Top Bottom