Usijali Baba Mchungaji nimekutaka radhi japo wanasemaga uongo dhambi ujue. πNtake radhi Mama Mchngaji....
Sura mbaya ndo ipoje?Mnaogopa nini kuonana na watu? Mtakuwa mna masura mabaya labda. [emoji38][emoji38]
hahaha!!Nadhani hii inatokea kwa baadhi ya watu Mkuu kwani kwangu mpaka sasa kwa wale watu kadhaa nilioonana nao bado haijawahi kunitokea.
Sa sijui hawana Ma Id mengine mengine π€π€π€π€ au wananistahi. π€£π€£
Hivi kumbe kujuana huwa inaendana na kupeana Ukimwi? Au sijaelewa hapa Mkuu? π€π€π€Swet-R,
Sijaona haja yakujuana. Hizo kesi zakupeans ukimwi huzisikii mmoja unaambiwa ameshajinyonga kisa ameambukizwa na mwanacha wa jf. Na wewe ndio kwanza unataka watu wajuane.
Niko poa Mtani. Najua na wewe uzi unakuhusu.hahaha!!
uko poa mtani
Muogope Mungu brother [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
Kila nikasogeza ka picha hakafunguki ila naona kadhuul ili Niku pmUna bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
Hahahaa. Mtani unaenda kinyume na uzi wetu sasa.hahaha!
Nataka nikuone mimi
hahaha.Hahahaa. Mtani unaenda kinyume na uzi wetu sasa.
Ni kweli mkuu. Hata mimi naota nikutane na @Shadeeya,amenifurahisha kuwa YangaHuu uzi umefanya nisome pages zote leo. Niseme tu ambao hamjaonana na watu humu munakosa vingi. Kikubwa ni aina ya watu utakaochagua kuonana nao.
Kwani Jf ina watu wema kuliko kawaida.
Cc. Wote ndugu zangu tulioonana nje ya Jf. Mubarikiwe sijajuta kuwafahamu.