Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Nadhani hii inatokea kwa baadhi ya watu Mkuu kwani kwangu mpaka sasa kwa wale watu kadhaa nilioonana nao bado haijawahi kunitokea.

Sa sijui hawana Ma Id mengine mengine 🤔🤔🤔🤔 au wananistahi. 🤣🤣
hahaha!!

uko poa mtani
 
Hivi nyie watu mnaingia muda gani JF, [emoji16][emoji16]
 
Nipo hapa! Kila siku naimba,sitakuja kujulikana humu yaani siku nikijulikana na member hata mmoja Najiondoa kabisaaa humu.
 
Huu uzi umefanya nisome pages zote leo. Niseme tu ambao hamjaonana na watu humu munakosa vingi. Kikubwa ni aina ya watu utakaochagua kuonana nao.

Kwani Jf ina watu wema kuliko kawaida.

Cc. Wote ndugu zangu tulioonana nje ya Jf. Mubarikiwe sijajuta kuwafahamu.
Ni kweli mkuu. Hata mimi naota nikutane na @Shadeeya,amenifurahisha kuwa Yanga
 
Back
Top Bottom