Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Nipo hapa ila natamani nikutane na member yeyote ile..
 
Kabisa mkuu ule uhuru wa kujimwaga na wengine kujimwambafai unapungua kabisa,maana unahisi yule unaefahamiana nae atapitia uzi wako na kukuona boya
 
Enzi za ufundi nilikua naletewa sana simu zinazohitaji matengenezo. Nishapokea simu ambazo nakuta mtu ana app ya JF ila sijawahi kutaka kujua id zao iwe kwa kuwauliza au kuingia kwenye app husika.

Now sijui hapo ni tumekutana ama la.
 
Jamani namiye nawakaribisha PM ila mambo ya kuombana namba, matusi na mambo yasiyo na maana sitaki.[emoji87][emoji87][emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…