Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu ule uhuru wa kujimwaga na wengine kujimwambafai unapungua kabisa,maana unahisi yule unaefahamiana nae atapitia uzi wako na kukuona boyaHaha ila ni kweli alichosema, kuna ka-uhuru fulani hivi unakapoteza. Kuna baadhi ya nyuzi unaweza kujikuta unashindwa kuchangia kwa uhuru kwa sababu case inayoongelewa inafanana na member unayefahamiana nae unakuwa unaogopa kujimwaga maana anaweza kuhisi unamsema yeye
Hahahaaa! Lolhahaha.
PM za vijana
Zimeleta tafrani.
Tooba!!! 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Ni kweli mkuu. Hata mimi naota nikutane na @Shadeeya,amenifurahisha kuwa Yanga
Kwa mfano mtu akiomba amekubembelezaa muonane unafanyaje Diana Spencer ?Mmmh asee sijawahi na sihitaji
Kwani kuja PM ndio kuonana?Wanakujaga PM kwako mkuu? Unawajibuje?
Na uzee upi naanzaje kuzaa tena,wapo mabinti huku watafurahia hiyo offerMrembo unaogopa nini natafuta wa kuzaa nae lkn atoke jeiefu kama uko tayari njoo
Inategemea na macho ya mtuSura mbaya ndo ipoje?
Kwa hiyo kila mtu uliyewahi kuchat nae PM uneonana nae?Si ndio kwa kuanzia? Au hata hapa hapa peupe nikuombe tukutane Khantwe?. (Halafu sorry nje ya mada,hii Khantwe lina maana yoyote? Sisi kwetu ina maana fulani
Kweli kabisaaaa nilkuwa pekee yangu sikutaka sauti nyembamba nyororo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]