Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii aisee imefanya nicheke jirani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unacheka nini eti jamani jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii aisee imefanya nicheke jirani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Exactly!!Nakazia. Na ya nje yabaki nje sio kuja kuanikana tena huku
Your wish is my command Paula[emoji23][emoji23]'Bado' sijakutana na mtu wa humu.
Ila kuna watu na wish kujuana nao zaidi ya hapa.
NakaziaKila mtu abaki na msimamo wake, msimamo wangu ni kukutana na yoyote, ili mradi anajielewa na kujitambua. Tukishakutana ni lazima aweze kuwa na kifua!!
Hii ni lazima wala sio hiari, halafu kwani tukikutana si tunabakia marafiki tu jamani!!!Nakazia
Lazima nikuone tuu jamani kaka
I would embrace the opportunity to meet with you Eli.Your wish is my command Paula[emoji23][emoji23]
sijawahi ila siku moja itapobidi "nitajaribu" ila ntakua makini kama naingia kwenye interview
ole wake ashike smart mbele yangu,sitomuelewa yani muda wote tutaokaa pamoja ntaomba
tushirikiane kwa maongezi tu na si vinginevyo.
Nacheka tu jirani jinsi hiyo aisee ambavyo haijulikani upo upande gani.🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka nini eti jamani jirani
Anatuongopea eti. 😃Huu mwandiko umejaa uongo na uzandiki 😆 😆
Nakubaliana na wewe kabisaa manake hata mimi kwa mfano nikichoshwa na mihangaiko ya siku huwa napitia JF kusoma comments asee humu raia wanafunguka unaeza baki unacheka tu na uchovu ukaisha kabisa,.. Sijawahi fikiria kabisa kukutana na member yeyote, japo JF imeniunganisha na wadau kadhaa na tumefanya biashara online hata bila ya kuonana kulingana na sababu zinazokuwa nje ya uwezo.
yani lolote linawezekana JF kila mtu spyWaogopa atakutwanga photo au??
Na hii ndio inayoleta shida kwa wengi.Kwa wao kujuana ni sawa na kuwa kwenye mahusiano. Ndio maana hwataku kujuana na watu sababh hawataki mahusiano nao.
Ila inawapasa wajue kuna sababu nyingi ya kuwakutanisha watu nje ya kuwa na mahusiano na mwisho wa siku maisha yakaendelea ndani ya Jf pasi shida yeyote.Naitafsiri kama ushamba pia kama kila unaejuana nae basi mnajuana kwa sababu ya kuanzisha mahusiano
Wengine jf inatupa mpunga tunapiga biashara za hapa na pale kuona sio uovu kabisa kwetu ila kaz ipo kwa wachakataji