Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
- Thread starter
- #281
Itabidi nipambane sana nikutune na wewe. Na sababu ya kukutana ni kupanga mikakati ya kuishabikia timu yetu YangaNa hii ndio inayoleta shida kwa wengi. Ila inawapasa wajue kuna sababu nyingi ya kuwakutanisha watu nje ya kuwa na mahusiano na mwisho wa siku maisha yakaendelea ndani ya Jf pasi shida yeyote.