Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Ni woga tu bwana. Mbona kuna watu tuko nao WhatsApp na wanaona kila siku tinavyochange picha status ila hawaziweki humu?
Ila ni vizuri pia kuangalia nani unafahamiana nae maana kuna mtu atataka mjuane ili iwe rahisi kuja kukuanika humu.
yani lolote linawezekana JF kila mtu spy
 
Nacheka tu jirani jinsi hiyo aisee ambavyo haijulikani upo upande gani.[emoji1787][emoji1787]

Kama hujawahi [emoji12][emoji12] jitahidi uonane na baadhi hasa wale wenye mawazo makubwa kukuzidi mana kiukweli baadhi ni watu wazuri mno tunaosaidiana kwenye shida na raha na hata kupeana michongo ya namna ya kujiongezea vipato nje ya viajira vyetu vinavyotuweka mjini.
Sawa jirani, nishaonana na baadhi kiukwelii sijawahi kujuta kabisaa my dear!!

Bado niko na mpango wa kuonana na wengi tuu jamani!!
 
Hebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani

.mashetani?

.majambazi?

.wakabaji?

.wabakaji?

.wanyongaji?

.wanyonya damu?

.wauza unga?

.wezi?

.wachawi

.n.k

Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.
Sio wa kawaida kama ulivyo wewe mkuu. Usiombe kukutana nao. Ni mijitu mirefu migentro,ina miili mikubwa. Huwa hayaonekani kwa kawaida
 
Haya, nami ngoja nichangie hapa.

Eti nina UKIMWI 🤣.

Hiyo niliiona juzi nikaishia kucheka tu.

Watu walikuwa wanazunguka zunguka tu lakini hawanitaji.

Unawaona wanajichekesha chekesha tu...oh sijui yule mbeba maboksi...oh sijui kamla nani na nani!

Hahahaha....99% of the content here is bullshit!
 
Mbona unapoteza muda bure?
Jf imejaa wachawi...yaani watu na roho zao za kutu.
Kama wanashindwa kutongoza na kuchukua mizigo ya maana wakae kimya milele.
Sasa ukiwa nao au usipokuwa nao wao wanateswa na nini?
Haya, nami ngoja nichangie hapa.

Eti nina UKIMWI [emoji1787].

Hiyo niliiona juzi nikaishia kucheka tu.

Watu walikuwa wanazunguka zunguka tu lakini hawanitaji.

Unawaona wanajichekesha chekesha tu...oh sijui yule mbeba maboksi...oh sijui kamla nani na nani!

Hahahaha....99% of the content here is bullshit!
 
Mara ysko ya mwisho kuonana na wana jf ni lini?
Ni woga tu bwana. Mbona kuna watu tuko nao WhatsApp na wanaona kila siku tinavyochange picha status ila hawaziweki humu?
Ila ni vizuri pia kuangalia nani unafahamiana nae maana kuna mtu atataka mjuane ili iwe rahisi kuja kukuanika humu.
 
Haya, nami ngoja nichangie hapa.

Eti nina UKIMWI [emoji1787].

Hiyo niliiona juzi nikaishia kucheka tu.

Watu walikuwa wanazunguka zunguka tu lakini hawanitaji.

Unawaona wanajichekesha chekesha tu...oh sijui yule mbeba maboksi...oh sijui kamla nani na nani!

Hahahaha....99% of the content here is bullshit!
Kumbe ndio unabeba maboski
 
Back
Top Bottom