Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Tupo wengi tu, niki log out ya Jf yanabakia Jf

Sijawahi na sitawahi kukutana na yeyote humu
 
Majuzi kati kuna jamaa wa humu ilikua nionane nae kwa ishu za kibiashara,mwisho wa siku nikamtuma mtu aonane nae,nae akamtuma mtu aonane na niliemtuma[emoji1787]

Humu jf kila mtu anajiona matawi ya juu ila sasa wanavyojificha humu na mtaan ni ivyo ivyo.
 
Tupo, na hatuna mpango wa kukutana na member yoyote
 
Wiki ya vilio iliisha. Tulikuwa tunaikaribisha ile siku ya Ukimwi Duniani.

Njoo tuonane sasa
 
huku nilikutana na mtu mmoja tu tena ilikua 2015.
ila najutia sana cz anajua identity yangu
the good thing tuliwasiliana kwa BBM so hana simu yangu wala sina yake
Am ready to meet people on same conditions, hakuna kupeana namba za simu wala real names
 
Najifunza kwa kusoma maandishi ya members humu jamnbini sio lazima kuonana nao
Basi sawa. Lakini muda mwingine ni vizuri kuonana kubadirishana mawazo. Chagua wale unaoona wanaendana na tabia unazotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…