Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Tupo wengi tu, niki log out ya Jf yanabakia Jf
Sijawahi na sitawahi kukutana na yeyote humu
Sijawahi na sitawahi kukutana na yeyote humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u too, nipo busy na Yale Mambo.Safi.. Unamisiwa
Daah i kow hun..Miss u too, nipo busy na Yale Mambo.
wameshakukojolea magoal mangapi ya fasta?Una bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
Hahahaha Nivumilie tu mkuu labda 2020 ntabadilikaM
Mangi na hilo jina unatuahibisha sana
Aisee!Sio wa kawaida kama ulivyo wewe mkuu. Usiombe kukutana nao. Ni mijitu mirefu migentro,ina miili mikubwa. Huwa hayaonekani kwa kawaida
Mbona yupo Insta anauza tigo. Mtafute kule utampata tu... anajiita black nini sijuiAtakaenipa jina LA hii chombo nampa elfu 10 yake chap,View attachment 1279879View attachment 1279880View attachment 1279881View attachment 1279882View attachment 1279883View attachment 1279884
Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Wiki ya vilio iliisha. Tulikuwa tunaikaribisha ile siku ya Ukimwi Duniani.Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
I see kwa nini huna mpango sasa?. Hutaki kujifunza kitu kipya kutoka kwa mwingine?