Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Unajuaje unaokutana nao mtaani hawapo JF?
 
Utamu wa Jamii Forums usijuane na mtu. Otherwise utaanza jishtukia. We unadhani mfano Kiduku angekua anajuana na mtu zile mbwembwe angekua anazisema hapa.
 
Nothing in JF you cant get offline!
At least we have the luxury of exchanging views on any subject anonymously, does not matter how intimate it is, no time wasting and you don't 've to look over the shoulder either.
 
Hebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani

.mashetani?

.majambazi?

.wakabaji?

.wabakaji?

.wanyongaji?

.wanyonya damu?

.wauza unga?

.wezi?

.wachawi

.n.k

Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.
 
Kwa mimi sijawah onana na mtu na ninachofurahia humu ni kupata habar tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…