Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Unajuaje unaokutana nao mtaani hawapo JF?
 
Utamu wa Jamii Forums usijuane na mtu. Otherwise utaanza jishtukia. We unadhani mfano Kiduku angekua anajuana na mtu zile mbwembwe angekua anazisema hapa.
 
Hebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani

.mashetani?

.majambazi?

.wakabaji?

.wabakaji?

.wanyongaji?

.wanyonya damu?

.wauza unga?

.wezi?

.wachawi

.n.k

Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.
 
Kwa mimi sijawah onana na mtu na ninachofurahia humu ni kupata habar tu
 
Back
Top Bottom