KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Waongo ksbis haoHebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani
.mashetani?
.majambazi?
.wakabaji?
.wabakaji?
.wanyongaji?
.wanyonya damu?
.wauza unga?
.wezi?
.wachawi
.n.k
Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.
[emoji849]Good nami natafuta wa kunizalia[emoji1787]
[emoji23][emoji119]Hakuna hatari yoyote baby, twende pm acha uoga
[emoji849]
@Mzigua90 acha mambo yako nitakutag mahali jamaa anasema mbona hukuogopa kudate na id zaid 3 ambazo anazifahamu yy
At least we have the luxury of exchanging views on any subject anonymously, does not matter how intimate it is, no time wasting and you don't 've to look over the shoulder either.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Psychopath.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenza natania bwana, wapo watu ninaofahamiana nao humu na 90% ni wastaarabu kabisa
Mrembo unaogopa nini natafuta wa kuzaa nae lkn atoke jeiefu kama uko tayari njoo
Acheni kuzalisha oeni
Wale walionana si unaona wanalia na leo Ni siku ya UKIMWI dunianWale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Kwanini usitake watu wajue ulionana na mimi? Kwangu nadhani wote wana matatizo.Sasa watu kama ninyi ndio mnafanya watu waogope kuonana na watu hamjui kuheshimu privacy za watu. Hivi kwa mfano kama mlionana kweli na yeye hataki ijulikane kuwa mlionana si unamletea tabu?
Huwezi jua bwana ni vyema kuheshimu maamuzi ya mtuKwanini usitake watu wajue ulionana na mimi? Kwangu nadhani wote wana matatizo.
Ni sawa ila kuna walakini.....Huwezi jua bwana ni vyema kuheshimu maamuzi ya mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eheeeee...! Tena we dogo under 25 ndio nilikuwa nakutafuta saaaana. Bora umejitambua,usimame na msimamo huo huo. Wewe umejitambua,lakini nataka nikuambie wenzio wengi hiyo age wanajitupia humo,hawajali cha umri. Chunga
Hata kama kuna walakini lakini bado ni maisha yake binafsi inatakiwa tuheshimu faragha yakeNi sawa ila kuna walakini.....