Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Namtania tuu jamani, hakuna la maana wala!Ahahaaaa...! Mwaga mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtania tuu jamani, hakuna la maana wala!Ahahaaaa...! Mwaga mkuu
Natania mimi jamani!Mwaga tu kuku wale @sakayo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Usiogope mrembo. Huwezi kuwa wa kumwaga mchele
Haiwezekani kabisa ....I mean kabisaKwa mfano mtu akiomba amekubembelezaa muonane unafanyaje Diana Spencer ?
Una bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni sumbawanga mkuu. Lakini kama uko dar iko ubungo kule kwa nyuma,ukiingia tu humo unajikuta uko sumbawanga
Hiyo chombo inaitwa “matako mengi” mkuuAtakaenipa jina LA hii chombo nampa elfu 10 yake chap,View attachment 1279879View attachment 1279880View attachment 1279881View attachment 1279882View attachment 1279883View attachment 1279884
Thanks chiefDuuh...! Pole sana
Mtoto mzuri....Inategemea na macho ya mtu
Yeah mambo?Mtoto mzuri....
Safi.. UnamisiwaYeah mambo?