Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]huyo nomaa mzeew aaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliwahi mkimbia mtu ili alipe yeye hela ya guest, aisee kumbe wakatia kaaga kuwa anaenda omba taulo lingine mim nikajua ndiyo mwaya wa kutoroka kumbe kabeba na wallet yangu, sikuwa na habari basi nkaona ndiyo mwanya wa kumwacha kwenye mataa. Hahaaha ile natokea mlango mwingine tunakutana uso kwa uso naye anasepa mkononi anasachi ile wallet huku akisonya “jitu lenyewe halina kitu”, mara paap nami nkajaa...... heeheheh hapo kilichoendelea siwezi simulia. Ila was those days wakati chuo kikuu bado ni chuo kikuu
 
Kuna mkari mmoja wa kukimbia sijaona story yake hapa!.. hearly hebu njoo simulia ya mtoto whyt
 
hahaaaa mkuu nasubiri kwanza scenario yko "" kisha ndio namimi nianze kutiririka"" Fanya hivyo ili unibust
Me sijawahi kimbia mwanamke malipo lakini kuchezesha vibao kawaida!.. Labda na michezo ya kubeba wawili wawili mpaka nikienda kiwanja kuna ma alwatan wakawa wananijua!.. Matei na Rainbow au nikitaka kupata majimama naenda Kito bar huko dom nimezisumbua sana!.
 
Shem kausha unanitia aibu unapojibizana na mtu usiemjua fata nyayo kama za Mr Tunguli. Hana shida hapa mpaka mwenyewe live.
 
Mkuu nina uhakika kabisa wewe umeshawazoea wale wa short time buku tano, hawa wa laki kwenda mbele uliingia cha kike sio type yako kabisa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh usinijaze upepooo maaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hapo huwezi tegwa na mtego wakitoto maaa
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Lini wakawaza hilo wanakwambia wasuza rungu basi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hapana kabisa shem mimi nina kinyaa sana ata nikijua tu demu ana mtu mwingine huwa napata wakati mgumu kurukanae
[emoji16][emoji16][emoji16] wengine nikama gari ya taka kila kitu
 
Huyo dada alimuonyesha jinsi watu wanavyoishi mjini si kushangaa maghorofa, aibu sasa halafu mkanda nje! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ohoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GeoMex mkaambulia mzigo shuka mlizichomea wapi haaa haa pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…