Tiririka mkuu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]hahaaaa mkuu nasubiri kwanza scenario yko "" kisha ndio namimi nianze kutiririka"" Fanya hivyo ili unibust
anhaaaa..kumbe "" basi hata mimi sijawahi kumkimbia mwanamke baada ya kumla chiuMe sijawahi kimbia mwanamke malipo lakini kuchezesha vibao kawaida!.. Labda na michezo ya kubeba wawili wawili mpaka nikienda kiwanja kuna ma alwatan wakawa wananijua!.. Matei na Rainbow au nikitaka kupata majimama naenda Kito bar huko dom nimezisumbua sana!.
hahaaa ndio waamka au'' ? mkuu mimi sijawahi kufanya matusi" kwahiyo bado nimgeni kwenye hiyo sektaTiririka mkuu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna watu wanatiaga kichefu chefu anaongea maneno machafu halafu hamjuani siku paa dada yake sijuiShem kausha unanitia aibu unapojibizana na mtu usiemjua fata nyayo kama za Mr Tunguli. Hana shida hapa mpaka mwenyewe live.
Yaani wana moyo mgumu sana mana inataka moyo[emoji16][emoji16][emoji16] wengine nikama gari ya taka kila kitu
Dada yuko kazini anamletea issue za kumkopa papuchi weeeeHuyo dada alimuonyesha jinsi watu wanavyoishi mjini si kushangaa maghorofa, aibu sasa halafu mkanda nje! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hiyo kitu ni elastic bana usingekimbia[emoji12]😀😀😀
Nilimkimbia jamaa ana dushelele kubwa hatari😀😀😀😀😀
Du Demiss huyoMimi nikisema niweke vituko vya walimu hakiii sitamalizaaa maaana toka naanza form 1 Mimi na kukomesha walimu nimesoma shule 5 sababu ya kukimbia walimu [emoji3][emoji3][emoji3]
Umenena vyema aisee Naona ni so dirty ... Mwanamke kuwa na wanaume tofauti tofauti sio kabisa ...Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Hahahh!!..hata mande enzi hizo hujapiga!?[emoji2]anhaaaa..kumbe "" basi hata mimi sijawahi kumkimbia mwanamke baada ya kumla chiu
Kwani wewe unadhani wanawake hawana au hawatembei na pesa? Buda these days dada zetu wako vizuri sanasana unaokuta kwa clubs, nje kapaki ndinga kali na kwa account unakuta ana 50+million,,,,sasa wewe kumnunulia wines na savanna usione unamiliki dunia!!!sasa je angemuacha kavu bila mia?...hyo inamtosha kumtoa point a.....b
hahaaa...Jamaa yngu wewe ulikuwa noma sana " yaani sekta zote hzo ulipitia...daahh umenikumbusha mbali sana...kuna Jamaa zangu walimleweshaga malaya mmoja hivi wakaenda kumpiga mtungo "" kumbe bwana yule demu alikuwaga anatoka na mzungu mmoja hivi ana dola zake mzungu akapata info kuwa demu wake katolewa sandakalawe "" basi akaenda o' bey kuchukuwa pira ...hahaaa wacha Jamaa wakusanywe kwenye difender kama chawa "Hahahh!!..hata mande enzi hizo hujapiga!?[emoji2]
aiseeeHizo enzi za chuo angenikulaaa au ningempa promisee
Nimecheka sana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahahaaa Malaya noma. Unanikumbusha miaka ya 2009/2010 hivi wakati huo tunaanza kazi kigeto kimoja Basi maafisa ndo sisi mabishoo balaa.
Sasa Kuna jamaa yangu alikua hajapanga bado kazi yake kudandia tunazunguka kulala kila sehemu Kama tupo hostel bado. Mie geto kwangu nikipata mlupo nampiga exile anaenda kulala kwa mwana mwingine na yy akipata bas nampisha. Sasa weekend Moja kaokota Malaya nikampisha bwana wanekubaliana fresh atamtoa 30. Kumbe mwana ule usiku gambe na Nini kamaliza hela yote kabakia na Kama buku 4 tu. Kapiga mzigo fresh kamgalagaza dada wa watu kufika saa11 Dem anataka chake jamaa kaanza saundi Mara mpesa imefanyaje sijui Mara subiria kukuche zogo zogo kweli nimekuja kusimulia na majiran zangu. Mwana ananiambia Dem Hadi alimsachi ndo kamkuta na buku4 tu Dem kamaindi balaa humo ndani hataki kutoka
Sasa mida ya saa Moja asubuhi hivi mwana kanipigia simu mi mbio nikaokoe jahazi mshkaji akafanya kosa akaenda uwani. Choo Cha nje daaah ile anarudi anakuta Dem kashasepa na mie nafika nakuta Dem katuachia bonge la kimba la mavi kitandani Yani la motooo kakwara na ile buku nne yake
Hahahhaaaa tulibaki kucheka tu kwa ule mzigo Yani Dem Kama alijiandaa siku nne kitu inaweza kujaa ndoo Yani alijikamua yote ile
Tukaishia kuchoma Moto shuka zangu na harufu kwenye kitanda ilikaa Kama wiki hivi
walimu hao strategies zao zilikua mbovu shemeji wanaanzaje kukosa mwanafunzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nikisema niweke vituko vya walimu hakiii sitamalizaaa maaana toka naanza form 1 Mimi na kukomesha walimu nimesoma shule 5 sababu ya kukimbia walimu [emoji3][emoji3][emoji3]
hahaha 20kMtonyo au nauli. Mtonyo hauwezi kuwa 20k bwana