Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Me sijawahi kimbia mwanamke malipo lakini kuchezesha vibao kawaida!.. Labda na michezo ya kubeba wawili wawili mpaka nikienda kiwanja kuna ma alwatan wakawa wananijua!.. Matei na Rainbow au nikitaka kupata majimama naenda Kito bar huko dom nimezisumbua sana!.
anhaaaa..kumbe "" basi hata mimi sijawahi kumkimbia mwanamke baada ya kumla chiu
 
Shem kausha unanitia aibu unapojibizana na mtu usiemjua fata nyayo kama za Mr Tunguli. Hana shida hapa mpaka mwenyewe live.
Kuna watu wanatiaga kichefu chefu anaongea maneno machafu halafu hamjuani siku paa dada yake sijui
watasema nini mpaka unajikuta umetoa maneno mabaya baadaye najutia nafsi yangu
 
Huyo dada alimuonyesha jinsi watu wanavyoishi mjini si kushangaa maghorofa, aibu sasa halafu mkanda nje! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Dada yuko kazini anamletea issue za kumkopa papuchi weeee
 
Hamna kitu kinatia mawazo baada ya kumaliza kale kamchezo unawaza utamuachaje demu na mshiko wakti raha mumepata wote pia unatoa pesa halfu we unabaki mweupe ,nikifikiriaga hivyo tu huwa naishiw kuchukua wale madem Malaya huwa napamban na zubeda wangu tu was kisabato kupunguza nyege tu yeye hana makuu huwa anatak naulii tu na anathubut kunambia usitumie pesa sana coz hujatimiza malengo yako ya kimaisha basi nasema mungu asante kwa kunipa hiki kiumbe chenye huruma na wallet yangu.
 
Mimi nikisema niweke vituko vya walimu hakiii sitamalizaaa maaana toka naanza form 1 Mimi na kukomesha walimu nimesoma shule 5 sababu ya kukimbia walimu [emoji3][emoji3][emoji3]
Du Demiss huyo
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Umenena vyema aisee Naona ni so dirty ... Mwanamke kuwa na wanaume tofauti tofauti sio kabisa ...
 
Nimesoma reply zote ila sijaona mwanamke aliekubali kwamba kaliwa AFU KAKIMBIWA


Eti wote wametukimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ujanja gaaan
 
sasa je angemuacha kavu bila mia?...hyo inamtosha kumtoa point a.....b
Kwani wewe unadhani wanawake hawana au hawatembei na pesa? Buda these days dada zetu wako vizuri sanasana unaokuta kwa clubs, nje kapaki ndinga kali na kwa account unakuta ana 50+million,,,,sasa wewe kumnunulia wines na savanna usione unamiliki dunia!!!
Mfano :niliwahi kwenda High spirits kuna mdada alinikanyaga bahat mbaya na heels,,, niliumia sana and she noticed,, akarudi kuniomba msamaha, later during the night akarudi kunicheki, Mzee tukafahamiana,,, in reality she is a loaded independent lady who happens to be the daughter of one of top hapa kwetu and currently kawa mshikaji wangu. (we need the connections ayt)
Sasa imagine ningemtukana?....... Heshimu wanawake
 
Hahahh!!..hata mande enzi hizo hujapiga!?[emoji2]
hahaaa...Jamaa yngu wewe ulikuwa noma sana " yaani sekta zote hzo ulipitia...daahh umenikumbusha mbali sana...kuna Jamaa zangu walimleweshaga malaya mmoja hivi wakaenda kumpiga mtungo "" kumbe bwana yule demu alikuwaga anatoka na mzungu mmoja hivi ana dola zake mzungu akapata info kuwa demu wake katolewa sandakalawe "" basi akaenda o' bey kuchukuwa pira ...hahaaa wacha Jamaa wakusanywe kwenye difender kama chawa "
 
Nishawah kumtoroka demu asubaa ile naingy kwenye kosta kama kawa nkawah siti ya mbele kufika mbele kdg lahaula nae anasimamisha hy hy kosta hahaha nilichanganyikiwa nkajikuta namuambia dereva huyo haendi huyo.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaa Malaya noma. Unanikumbusha miaka ya 2009/2010 hivi wakati huo tunaanza kazi kigeto kimoja Basi maafisa ndo sisi mabishoo balaa.

Sasa Kuna jamaa yangu alikua hajapanga bado kazi yake kudandia tunazunguka kulala kila sehemu Kama tupo hostel bado. Mie geto kwangu nikipata mlupo nampiga exile anaenda kulala kwa mwana mwingine na yy akipata bas nampisha. Sasa weekend Moja kaokota Malaya nikampisha bwana wanekubaliana fresh atamtoa 30. Kumbe mwana ule usiku gambe na Nini kamaliza hela yote kabakia na Kama buku 4 tu. Kapiga mzigo fresh kamgalagaza dada wa watu kufika saa11 Dem anataka chake jamaa kaanza saundi Mara mpesa imefanyaje sijui Mara subiria kukuche zogo zogo kweli nimekuja kusimulia na majiran zangu. Mwana ananiambia Dem Hadi alimsachi ndo kamkuta na buku4 tu Dem kamaindi balaa humo ndani hataki kutoka

Sasa mida ya saa Moja asubuhi hivi mwana kanipigia simu mi mbio nikaokoe jahazi mshkaji akafanya kosa akaenda uwani. Choo Cha nje daaah ile anarudi anakuta Dem kashasepa na mie nafika nakuta Dem katuachia bonge la kimba la mavi kitandani Yani la motooo kakwara na ile buku nne yake

Hahahhaaaa tulibaki kucheka tu kwa ule mzigo Yani Dem Kama alijiandaa siku nne kitu inaweza kujaa ndoo Yani alijikamua yote ile

Tukaishia kuchoma Moto shuka zangu na harufu kwenye kitanda ilikaa Kama wiki hivi
Nimecheka sana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi nikisema niweke vituko vya walimu hakiii sitamalizaaa maaana toka naanza form 1 Mimi na kukomesha walimu nimesoma shule 5 sababu ya kukimbia walimu [emoji3][emoji3][emoji3]
walimu hao strategies zao zilikua mbovu shemeji wanaanzaje kukosa mwanafunzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom