Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Hako kamtindo nimekafanya sana ila siku hizi nimeacha. Kamtindo hako ni kazuri kuwafanyia wale wadada wanaojiona sana, au waliokufanya uhangaike sana kuwapata. So unampeleka kiwanja una mla, anakunywa , halafu unaaga kama unaenda chooni....huyooo safari na mguu, so anawaita wajomba zake ndo wanamlipia. game over. ila jiandae na vichambo
 
lol hatari sna
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weeeee. Usione umekaa na mwanamke anakushika shika mapaja na mjegehe ukafikiri anakupandisha mzuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine ni kupima hii ngoma taiweza???
Yeaaah unapima [emoji366] plug
 
Hii michezo Raha! Yake ufanikiwe me muhanga ya hii michezo
 
Hatar sana!
 
Nyakati fulani nilikua sehemu moja inaitwa Hungumalwa-Mwanza, basi weekend nikasema niende town. Kuna club moja inaitwa Rockbottom. Nikaparty sana nikamuona mtt mmoja mkali sana, basi nikajoin, tukapiga mtungi hadi saa 10, mimi hali niko hoi, na asubuhi nilipashwa kufanya manunuzi fulani, basi nikamchomoa 'mrembo', tukafika hoteli moja inaitwa Isamo, Room kuambiwa imebaki suit tu 50, nikabargain na receptionist kwa hoja kua time hii almost kumekucha, nikaclear 30, nikabaki na 40. Basi yakajili yakujili room , sema niligundua yule binti amelewa sana. Nimestuka saa 2 asubuhi, 'mrembo' kazima bado. Basi nikapiga maji, kuondoka nikamuwekea simu yake charge(last night alicomplain haikua na charge na hakua na charger), nikamuachia 20 mezani na namb yangu kwenye karatasi. Mchana wake binti karuka hewani , haamini kilichojiri..hadi leo ni 'mshkaji' wangu sana.. Unfortunately nilinote ni married woman sema ana frastuations za ndoa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…