Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Haaaa best sikuwezi unapima uzito kwanza duu, kuna binti aliwahi nisimulia aliondoka na mbaba huyo kufika ndani yule me siakachojoa ile kuona tu eti mam yangu moyo wangu paaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] kaomba kwenda chooni mbio hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazimaaa utokeee nduki maaaaaa nilisema siku ile kukimbia hakujawahi muacha mtu salama sema tunajificha tu
 
Maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa form3, kaja teacher wa math, na tuition zake kumbe anamezea mate kanipanga vizuri mpaka hela ya kula ili niwahi kutoka nyumbani nami nilivyokuwa mkimya nikakubali kwa tabasamu safi, kesho yake niliwahi darasani badala ya huko, wanafunzi wanaulizana mbona teacher leo kachelewa mie nacheka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] najua kabisa nasubiliwa huko kaja kachelewa macho mekundu na alivyokuwa mrefu mwembamba mweusi nachekea chini chini aliishia kunipiga na chaki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nikisema niweke vituko vya walimu hakiii sitamalizaaa maaana toka naanza form 1 Mimi na kukomesha walimu nimesoma shule 5 sababu ya kukimbia walimu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani hakuna kigeni kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Wanaume aliyewaroga ameshakufaaa kitambooo
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Kununua mwanamke ni ugonjwa wa akili, bora kwa wenzetu wale wanajiuza ni professional kabisa ila kibongo bongo hapa,wanajifuta na tishu anarudi kula kichwa kingine

Serekali iangalie hii biashara ione itawawezesha na kuwaelimisha vip hao kina dada waweze kufanya kazi zao kwa uweledi wa hali ya juu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom