Wale ambao wanakataliwa kugombea Ubunge kupitia Chadema. Kuna Vyama vingi tu msikonde

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.

Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana.

Ni haki pia kujitoa chama kistaarabu tu bila drama.
 
Bila kusahau Sauti ya Uma (SAU), Democratic party (DP), secretarybird party (SP).

Cham cha SP inaenda kushika dola. Al-mukheef Poor Brain
 
Labda waende CCM, lakini wakienda Vyama vingine wanaenda KUENGULIWA halafu ndio wataelewa kwanini sisi tunapigania Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi.
 
Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.

Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana.

Ni haki pia kujitoa chama kistaarabu tu bila drama.
Hoja za G55 hazijajibiwa kikamilifu.Hao ndiyo walistaili kuwa viongozi Wana akili kubwa
 
Back
Top Bottom