Wale ambao wanakataliwa kugombea Ubunge kupitia Chadema. Kuna Vyama vingi tu msikonde

Wale ambao wanakataliwa kugombea Ubunge kupitia Chadema. Kuna Vyama vingi tu msikonde

Ruzuku imekata
hahaha tangu amegraduate/disco UDSM (2006) . ALI DISCO maana hakufanya mitihani ya mwisho, bwana John Mrema hakuwahi kufanya shughuli nyingine zaidi ya ile ya makao makuu chadema akibadilishwa vyeo mbalimbali.
leo pumzi imekatwa analia, ana haha. ana asi chama
mrema njoo mtaani tupambane acha kulia
 
Kumbe mwamba hakumaliza chuo tena? 2006 ni mtu mzima mbona alia lia sn?
 
kuwa na cheo ccm hakuhitaji elimu. cheo kama DC unatakiwa uwe na elimu gani sasa? yaani hata kama huna elimu utashindwa kuupokea na kuukazi mwenge nwa uhuru kweli?
Kuna barmed mmoja ni DC kule Simiyu asee ni aibu tupu hata F4 hajafika
 
"bila reform hakuna uchaguzi" wanaopinga waondoke tu CDM
 
Labda waende CCM, lakini wakienda Vyama vingine wanaenda KUENGULIWA halafu ndio wataelewa kwanini sisi tunapigania Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi.
Na CCM hawawezi kupokelewa kwa sababu matumizi yao kwa CCM ni wakiwa ndani ya Chadema tu.
 
Back
Top Bottom