Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Waende salama mlango ule pale👉Waende wanakotaka
Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.
Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana.
Ni haki pia kujitoa chama kistaarabu tu bila drama.
Bila kusahau Sauti ya Uma (SAU), Democratic party (DP), secretarybird party (SP).Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.
Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana.
Ni haki pia kujitoa chama kistaarabu tu bila drama.
Unatak kuanzisha chama cha siasaBila kusahau Sauti ya Uma (SAU), Democratic party (DP), secretarybird party (SP).
Cham cha SP inaenda kushika dola. Al-mukheef Poor Brain
Nimeshakianza kama unavyoona na kinapata usijali soon.Unatak kuanzisha chama cha siasa
Hapana sio chama changu kama tu nimevikataa CCM na Chadema nikikubali hicho 😃Nimeshakianza kama unavyoona na kinapata usijali soon.
Ni chama chako pia.
CCM na CHADEMA ni vyama vya kipuuzi vyote bora uje tu huku.Hapana sio chama changu kama tu nimevikataa CCM na Chadema nikikubali hicho 😃
Hicho chako sio cha kipuuziCCM na CHADEMA ni vyama vya kipuuzi vyote bora uje tu huku.
Hiki ni chama kweli kweli. Jamaa yangu mmoja mkongomani anakiita fimbo ya fimbo.Hicho chako sio cha kipuuzi
Hoja za G55 hazijajibiwa kikamilifu.Hao ndiyo walistaili kuwa viongozi Wana akili kubwaMi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.
Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana.
Ni haki pia kujitoa chama kistaarabu tu bila drama.