Wale ambao zoezi hili la sensa halitawapitia kwa bahati mbaya waende wapi?

Wale ambao zoezi hili la sensa halitawapitia kwa bahati mbaya waende wapi?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Ninaamini pamoja na zoezi hili kupangwa vema na serekali yetu lakini bado nadhani wapo ambao zoezi hili litashindwa kuwagusa kutokana na pengine shughuli zao, aidha wengine kuwa single katika nyumba fulani au kwa namna yoyote ile kutokana na shughuli za kibinadamu, je watu hawa waelekee wapi? Ili waweza kuhesabiwa.

TUJITOKEZE KUHESABIWA.
23/08/2022.
 
Sensa inasaidia kupata data,haichukuliwi data excatly iliyopatikana wakati wa zoezi Bali zinafanyika calculation & projection ambayo ita include hiyo factor ya watu uliowasemea-mwishoni inapatikana figure 1 itakayotumiwa na Serikali.
 
Sensa husaidia hata taasisi ya uhifadhi wa chakula kuweza kuproject ni kiasi gani kinatakiwa kuhifadhiwa ili kwa bahati mbaya janga la njaa litakapotokea hesabu ya hifadhi na hesabu ya watu viendane asife mtu.
 
Ndo maana huwa tunasema Tanzania inakadiliwa kuwa na watu kadhaa na sio Tanzania ina watu kadhaa sababu tunaamini sio wote watakaohesabiwa!!!!
 
Umeuliza swali zuri, karibuni maafisa wa sensa kama mpo humu ndani kwa majibu tafadhari.
 
Back
Top Bottom