Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo.

Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi.

Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
IMG_1958.jpeg
 
Kusema kwelii natumia Halotel, hizi meseji ni nadra kwangu sana. Inaweza ikapita miezi ata 6 hazifiki msg 5 pamoja na zile za waganga.
 
Kuna mstari mmoja wa Rapa Joh makini unasema.

"Na miss wale tuma kwa namba hii
ukiweka tu mzigo namba imezimwa,
Samahani namba unayopiga umepigwa..!!
 
MPIGIE MZEE SAID MTAALAM WA TIBA ASILI. MALI. PETE. NYOTA. UZAZI. KUPANDISHWA CHEO KAZINI. KULUDISHA MALI ILIYOPOTEA. NAMBA 0719914240
 
Back
Top Bottom