Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Cku Hz wanajifanya wenye nyumba.tuma hiyo Kodi humu.wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo.
Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi.
Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?View attachment 3023749
Huyu aliyekamatwa mwenye hili tako lisilo na shepu hivi si Kajala kweli huyu? Ngoja nimuulize Harmonize kiboko yake.