Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
Akaja?Haaaa haaaa haa we hunatofauti na mie aiseee ila kuna mmoja kule badoo akanipa namba mara akaanza my ninaomba 5000, nilimshangaa maana nikimwangalia ni Mzuri na sio wa kuomba pesa hiyo, mie nikamtolea uvivu na kumwambia njoo lodge tukutane, maeneo yangu huwa pale simu2000 kuna lodge moja iko uchochoroni mpaka rahaa😛😛😛😛😛😛😛😛😛