Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Nitakuwa nimemsahau MO11 na husna muba pia atakuwa amerudi.

Alafu huyu mo jamani, nilimfuma akimuwish Happy birthday mcheza porn alafu mie hajawahi hata kukumbuka b.day yangu, nikasamehe, leo tena nimemkuta anamsarandia Shunie[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Anakuchezea shemeji... njoo kwangu walai utacheza mwenyewe.

Shemeji sipendi kuona unalia eti....njoo nikufute machozi
 
Inamaana wew kaz yako ni kutongoza tu kwenye mtandao
 
Huyu mtoto nataka kumchukua bwana... kanisumbua miaka mingi saana
Sawa ila naona unamwita shemeji mara unamtaka mwenyewe hii inanikumbusha wimbo wa zamani kidogo unao sema shemeji shemeji huku wa zima taa na wimbo wa sasa watoto wa mjini mnaita singeli hainaga ushemeji tunakulaga
 
Nitakuwa nimemsahau MO11 na husna muba pia atakuwa amerudi.

Alafu huyu mo jamani, nilimfuma akimuwish Happy birthday mcheza porn alafu mie hajawahi hata kukumbuka b.day yangu, nikasamehe, leo tena nimemkuta anamsarandia Shunie[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
hahahhahah kamuwish bday mcheza porn
ila mm hajanitongoza halaf si uliona nilivyokua nauliza espy anajua
alisema ana jambo anataka kuniambia kutokana na hii hali ya hewa
 
Back
Top Bottom