Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Mabinti wa leo ukimtongoza tu anageuka yatima hapo hapo si wa online si wa offline wote njaa nje nje.

Imefika mahali ukipata manzi asiyekuomba pesa unakosa kujiamini.
 
Mi kuna demu mmoja nilimpata fb akaniambia nimtumie nauli aje! Unajua nilifanyaje? Nilitafuta no ya mkatishaji ticket nikamwambia kuna mtu atakuja akifika ntakutumia hela ya malipo ya nauli na gari likianza kuondoka mpatie konda 10,000 ampe njian kwa ajili ya chakula! Manzi aligoma nikampotezea
[emoji23][emoji23]wewe jamaa kiboko
 
Back
Top Bottom