Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Akaja?
 
Usawa huu ujikute tu unalitumia lidemu la mtandaoni hela...na njaa yote hii.......utakuwa mwendawazimu, alafu unakuta nduguzo wana shida ya hata debe la mahindi....utajipa laana bure...........
 
Mm sha pigaga kibao tena natakaga models kuanzia 20-24yrs na pesa Za nauli nawatumia lkn pia sha tapeliwa vilevile ila cjali. Kwanza dem wakuomba pesa ndiyo mzuri maana hakuna mapenzi pesa mbele, napiga Mzigo nampa pesa. Cku nikipata ham tena namtafuta. Wale wasioomba pesa mabomu yao baadae makubwa, nakacha.
 
Matapeli wapo na Wanaoliwa WAPO...

Inahitaji umakini tu kutofautisha mwandiko wa kike au kiume, pia ujue mitego ya Utambuzi wa uhalisia wa Mtu.

Nimeshapoteza pia vi 5 na 10 kadhaa ili kupagawisha.[emoji23][emoji23][emoji23] zama za Ujinga wangu mitandaoni.
 
Usawa huu ujikute tu unalitumia lidemu la mtandaoni hela...na njaa yote hii.......utakuwa mwendawazimu, alafu unakuta nduguzo wana shida ya hata debe la mahindi....utajipa laana bure...........
Si ndio akili zenu.
 
Shemeji sasa umeniitia nini.... ujue mimi nimekuja na fuso ili nikuchukue kabisa na mizigo yako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Njoo unichukue tu, utanirudisha kiangazi kikianza.
 
Sijui kama utaweza kurudi shemeji...

Kwani utakuwa umesahau nini?
Nitakuwa nimemsahau MO11 na husna muba pia atakuwa amerudi.

Alafu huyu mo jamani, nilimfuma akimuwish Happy birthday mcheza porn alafu mie hajawahi hata kukumbuka b.day yangu, nikasamehe, leo tena nimemkuta anamsarandia Shunie[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…