Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Teh teh njoo niogelee basihata mm nahisi atakua na kimbilimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh njoo niogelee basihata mm nahisi atakua na kimbilimbi
Kumbe mnajua ana wakwakehahahhh lini uliniona nalia
we kama haunipendi mm nakupenda tu shemeji yangu Daby kwa husna
hahahhahTeh teh njoo niogelee basi
ata sisi pia tuna wenzetuKumbe mnajua ana wakwake
SawaUsitume tu, watatuma wenzio.
Huna macho wewe hadi umuonee huruma? Au unataka akutumie wewe.Namwonea huruma kijana maana kwa hali ya uchumi ilivyo hapana
Sasa mbona unataka atume hela za kufanyia nini?Siuzi wala sitoi bure.
Nakupenda pia mume wangu. Nakupenda kuliko neno lenyewe, and you know it.kwasababu nakupenda mpaka naona sistahili kukuacha wala kuachwa na wewe
Kwani tunakwenda wapi? Mie narudi nyumbani kwa mume wangu.Tuongeze speed basi tufike...
Tangu lini pesa zikakosa matumizi?Sasa mbona unataka atume hela za kufanyia nini?
Heeee mmefika hukuDaby nae ndio aligoma kutuonyesha, huyu atakuwa na kimbilimbi sio bure.
Mnataka daby azimie?hata mm nahisi atakua na kimbilimbi
Haya umenisnitch eeeh hayaKwani tunakwenda wapi? Mie narudi nyumbani kwa mume wangu.
Sawa kwahiyo mnatumia ule usemi unao shemeji tumia kaka hayupoata sisi pia tuna wenzetu
Kwa nani?Haya umenisnitch eeeh haya
Kwq mo11 kwa hiyo unaniacha himo niende kwa nani?Kwa nani?
hakuna kuzimia inabidi tu ukibaliane na maumbile yakoMnataka daby azimie?
ndio au manfongo style hakunaga ushemejiSawa kwahiyo mnatumia ule usemi unao shemeji tumia kaka hayupo
Hili jibu inaonekana mi naziba na umepanikiHuna macho wewe hadi umuonee huruma? Au unataka akutumie wewe.