Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Matumizi hela ya mwingine au ndo utafutaji wa kisasaTangu lini pesa zikakosa matumizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi hela ya mwingine au ndo utafutaji wa kisasaTangu lini pesa zikakosa matumizi?
Ni wachache sana wanao kubaliana na hali walizo nazohakuna kuzimia inabidi tu ukibaliane na maumbile yako
Mwanzo nilimuuliza daby akaniambia hajaelewandio au manfongo style hakunaga ushemeji
kama hakubaliani na hiyo hali atumie vumbi la kongoNi wachache sana wanao kubaliana na hali walizo nazo
Sio vumbi tu la Kongo inatakiwa ukiwa na hiyo hali oa tu ili mke wako ndo akufichie siri maana haya madawa siku ukikosa ndo unaaibika kabisakama hakubaliani na hiyo hali atumie vumbi la kongo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwq mo11 kwa hiyo unaniacha himo niende kwa nani?
[emoji16][emoji16] nacheka kwa uchungu ujue.. sio kwa kuniingiza cha kike leo wewe.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani shemeji ulikuwa unakwenda wapi?
sio tv tu na cctv cameraIna TV ndani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji16][emoji16] nacheka kwa uchungu ujue.. sio kwa kuniingiza cha kike leo wewe.
Shemeji moyo wangu utaudondosha bure wewe.... wewe endelea na mmeo.... na kunimalizia miamala hivyo bado umeniacha njia panda ya barnaba na pipi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niambie tu, naweza kukusindikiza.
Shemeji ujue mpaka sasa nasubiri muamala sojauona!!!Shemeji moyo wangu utaudondosha bure wewe.... wewe endelea na mmeo.... na kunimalizia miamala hivyo bado umeniacha njia panda ya barnaba na pipi
Endelea kuusubiri tu shemeji bora hata nimpe kasie.Shemeji ujue mpaka sasa nasubiri muamala sojauona!!!
Kwani kutambulishana kuna shida? Mwambie achinje tu ng'ombe ile iko nona, tuko njiani.Endelea kuusubiri tu shemeji bora hata nimpe kasie.
Shemeji wewe wa kunitoa Dar na kuniacha mombo na mama nilishampigia simu tunaenda kutambulishana?
Shindwa labda sio kwa kuniacha huko njia panda..Kwani kutambulishana kuna shida? Mwambie achinje tu ng'ombe ile iko nona, tuko njiani.
We si ulishasema haunifahamu?[emoji57]Shindwa labda sio kwa kuniacha huko njia panda..
Si bora naniiihiii
Haha... kwa hiyo umechukia shemeji... mimi na wewe wa kutugombanishaaaa mungu tu bwana hata mod hawaweziWe si ulishasema haunifahamu?[emoji57]