Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

sasa kama hamuwezi kuwapa pesa wanawake msiowajua au kuwaona si mtongoze mnaojuana/kuonana nao?

kila siku wanaume mnakuja kulialia na nyuzi za wanawake wanapenda pesa na mnashauriana jinsi ya kutunyima but nashangaa kila siku sisi pesa tunapewa coz mnatiana ujinga tu kwenye mitandao but in real life mnatupa pesa, hapana chezea ile kitu bana, utapiga kilele na fix humu jukwaani but demu akikuweka kwenye impossible angle lazima pesa ikutoke, endeleeni kudanganyana online mkimaliza mje offline tuwaombe pesa kama kawa coz tunajua lazima mtupe na tusipowaomba nyie mnataka tumwombe nani? hyo ndo nature kama hutaki kutoa pesa hama jinsia uwe KE ili na wewe uombe.
Hamna kudanganyana hapa...Offline nitakupa pesa after MISSION COMPLETE.... Hamna cha bure hapa
 
Wengi mnachati na
Midume kwa ID ZA wanawake bila kujijuwa. KUNA jamaa namjuwa ndy kazi yake hyo.. Ana boda boda 2 na duka la nguo kwa kazi hyo. Ana midume inamtumia pesa kila siku. Tena ukiwa mtoaji mzuri anakuweka whtsap profile kwake na status ya kimapenzi. Hizo nauli za dar.. Mwanza 100000 kishapewa sn. Na jamaa anamlipia ada ya shule mtoto hewa wa yule demu fake. . Na hadi mashemeji unaongea nao. Unapigwa tu..jamaa katuma hadi 500000 za kumpangia nyumba na demu hajamuona. Ukiona demu kakupa no yake.. Ukimpigia sm anakwambiya speaker mbovu tucht. Au anakupigia akiwa na shida yy lakini ukimpigia hapokei kwa muda ule. Ujuwe unacht na dume
Daa kuna watu wana dhambii yaana mpaka kanunua boda boda kwa kuwatia watu changa LA machoo
 
sasa kama hamuwezi kuwapa pesa wanawake msiowajua au kuwaona si mtongoze mnaojuana/kuonana nao?

kila siku wanaume mnakuja kulialia na nyuzi za wanawake wanapenda pesa na mnashauriana jinsi ya kutunyima but nashangaa kila siku sisi pesa tunapewa coz mnatiana ujinga tu kwenye mitandao but in real life mnatupa pesa, hapana chezea ile kitu bana, utapiga kilele na fix humu jukwaani but demu akikuweka kwenye impossible angle lazima pesa ikutoke, endeleeni kudanganyana online mkimaliza mje offline tuwaombe pesa kama kawa coz tunajua lazima mtupe na tusipowaomba nyie mnataka tumwombe nani? hyo ndo nature kama hutaki kutoa pesa hama jinsia uwe KE ili na wewe uombe.
Umetumaliza ndug.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]....umenikumbusha kunammoja niliwahi kumpata Mwanza maeneo ya busweru kidume nikamfungia safari mpaka pale alipo baada ya story nikataka mzigo akaniambia yupo ziara hapohapo akataka laki nikamzingua akaja kunishitaki humu jf
 
Back
Top Bottom