sasa kama hamuwezi kuwapa pesa wanawake msiowajua au kuwaona si mtongoze mnaojuana/kuonana nao?
kila siku wanaume mnakuja kulialia na nyuzi za wanawake wanapenda pesa na mnashauriana jinsi ya kutunyima but nashangaa kila siku sisi pesa tunapewa coz mnatiana ujinga tu kwenye mitandao but in real life mnatupa pesa, hapana chezea ile kitu bana, utapiga kilele na fix humu jukwaani but demu akikuweka kwenye impossible angle lazima pesa ikutoke, endeleeni kudanganyana online mkimaliza mje offline tuwaombe pesa kama kawa coz tunajua lazima mtupe na tusipowaomba nyie mnataka tumwombe nani? hyo ndo nature kama hutaki kutoa pesa hama jinsia uwe KE ili na wewe uombe.