Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Dem akiniomba ya nauli aje tuonane kwa siku ya kwanza namwambia aazime kwa m2 nitamlipa akija au namfuata na gari au pikipiki
 
[emoji16][emoji16] nacheka kwa uchungu ujue.. sio kwa kuniingiza cha kike leo wewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niambie tu, naweza kukusindikiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…