Mi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.Kwahiyo ww unaomba hela ili aine huna mtu pembeni au sababu unakuwa na shida?!
Mh!Mi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.
Zamani kabla ya whtsap kuongia.. Mademu fb...unapiga unaetaka...kila kitu fb...now wameingia midume kwa iD za kike...ni hatari sana...Ilikuwa zaman siku hiz wanawake wamekuwa matapeli
Hamna kudanganyana hapa...Offline nitakupa pesa after MISSION COMPLETE.... Hamna cha bure hapasasa kama hamuwezi kuwapa pesa wanawake msiowajua au kuwaona si mtongoze mnaojuana/kuonana nao?
kila siku wanaume mnakuja kulialia na nyuzi za wanawake wanapenda pesa na mnashauriana jinsi ya kutunyima but nashangaa kila siku sisi pesa tunapewa coz mnatiana ujinga tu kwenye mitandao but in real life mnatupa pesa, hapana chezea ile kitu bana, utapiga kilele na fix humu jukwaani but demu akikuweka kwenye impossible angle lazima pesa ikutoke, endeleeni kudanganyana online mkimaliza mje offline tuwaombe pesa kama kawa coz tunajua lazima mtupe na tusipowaomba nyie mnataka tumwombe nani? hyo ndo nature kama hutaki kutoa pesa hama jinsia uwe KE ili na wewe uombe.
Ndivyo mnavyosema!Bahili kama nini
Hahaaa mondray nimeipenda hii
- Hela nakua sina..
- Naonekana mkubwaaa kumbe dogo
- Mzuri kumbe mbaya.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahHamna kudanganyana hapa...Offline nitakupa pesa after MISSION COMPLETE.... Hamna cha bure hapa
Daa kuna watu wana dhambii yaana mpaka kanunua boda boda kwa kuwatia watu changa LA machooWengi mnachati na
Midume kwa ID ZA wanawake bila kujijuwa. KUNA jamaa namjuwa ndy kazi yake hyo.. Ana boda boda 2 na duka la nguo kwa kazi hyo. Ana midume inamtumia pesa kila siku. Tena ukiwa mtoaji mzuri anakuweka whtsap profile kwake na status ya kimapenzi. Hizo nauli za dar.. Mwanza 100000 kishapewa sn. Na jamaa anamlipia ada ya shule mtoto hewa wa yule demu fake. . Na hadi mashemeji unaongea nao. Unapigwa tu..jamaa katuma hadi 500000 za kumpangia nyumba na demu hajamuona. Ukiona demu kakupa no yake.. Ukimpigia sm anakwambiya speaker mbovu tucht. Au anakupigia akiwa na shida yy lakini ukimpigia hapokei kwa muda ule. Ujuwe unacht na dume
Umetumaliza ndug.sasa kama hamuwezi kuwapa pesa wanawake msiowajua au kuwaona si mtongoze mnaojuana/kuonana nao?
kila siku wanaume mnakuja kulialia na nyuzi za wanawake wanapenda pesa na mnashauriana jinsi ya kutunyima but nashangaa kila siku sisi pesa tunapewa coz mnatiana ujinga tu kwenye mitandao but in real life mnatupa pesa, hapana chezea ile kitu bana, utapiga kilele na fix humu jukwaani but demu akikuweka kwenye impossible angle lazima pesa ikutoke, endeleeni kudanganyana online mkimaliza mje offline tuwaombe pesa kama kawa coz tunajua lazima mtupe na tusipowaomba nyie mnataka tumwombe nani? hyo ndo nature kama hutaki kutoa pesa hama jinsia uwe KE ili na wewe uombe.
Kwani wewe huwezi kumpa mwanaumeMwanaume usipomuomba hela yeye mwenyewe anajishuku anaanza kukupa!!! Mmeshazoea kuombwa... Usipoombwa unaona kama vile mwanamke ana mtu mwingine pembeni!