Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

pia inategemea mitandao ipi na ya wapi na wawapi unamtongoza. wengine hatujawahi kukutana na kadhia za kuombwa pesa ya kusukia blah blah. achana na papuchi kabisa na hii mitongozo ya mitandaoni....nilishapiga self exim...yaani importations na exportations si kutoka mikoa wala nchi tofauti bali mabara tofauti ya hii dunia duara
 
ila chungeni wanawake hawakomlewi unajikomoa mwenyew usijidanganye eti unampa 20 kuna siku watakunyoosha hutaamini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wise mbona umeongea kwa huzuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…