baba paroko sijawahi mm naogopa hela za watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi hujawahi kula hela ya mtu humu kweli maana sio kwa uweupo huo kwenye picha kapaja kanachungulia ahhh sister upo vizuri
Wanaume sisi we tuache tu kama tulivyo, tunajielewa wenyewe, huwa tuna mambo tunajifanya wajanjaaa ila ikifika ishu ya hapo kati sasa akili huwa zinaji formati kabisa, sasa unakuta kidume ni rahisi kufanya muamala ukuamtumia mtu hela hata hujawahi muona genye banah, genye ingekuwa ni ugonjwa wa kichaa basi wanaume kila wakati tungekuwa vichaa huko mjini unapishina na jitu kavaa boxa tu ndiyo anaenda kazini[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba paroko nimecheka
Upo vizuri hahahaha kamwe usijaribu mtumishi wa Mungu hata sadaka zangu usiguse, hela zingine zina majini utashanga tu unapata mimba kwa Bluetooth,baba paroko sijawahi mm naogopa hela za watu
teh teh mimba kwa bluetoothUpo vizuri hahahaha kamwe usijaribu mtumishi wa Mungu hata sadaka zangu usiguse, hela zingine zina majini utashanga tu unapata mimba kwa Bluetooth,
Nkasi ehh acha tu nije baby mbona sio mbali kabisaBaby,nitumie laki moja nije,si unajua nipo Nkasi huku.
We utakuwa paroko beby au ni yule paroko anae kula mifugo yake mwenyeweNkasi ehh acha tu nije baby mbona sio mbali kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanaume sisi we tuache tu kama tulivyo, tunajielewa wenyewe, huwa tuna mambo tunajifanya wajanjaaa ila ikifika ishu ya hapo kati sasa akili huwa zinaji formati kabisa, sasa unakuta kidume ni rahisi kufanya muamala ukuamtumia mtu hela hata hujawahi muona genye banah, genye ingekuwa ni ugonjwa wa kichaa basi wanaume kila wakati tungekuwa vichaa huko mjini unapishina na jitu kavaa boxa tu ndiyo anaenda kazini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji41][emoji41]husna muba nahitaji busara zako haswa kipindi hichi cha mvua
Ngoja nichukue toyo kbsanakuja Daby
kumbe ndio mlivyo [emoji23]Wanaume sisi we tuache tu kama tulivyo, tunajielewa wenyewe, huwa tuna mambo tunajifanya wajanjaaa ila ikifika ishu ya hapo kati sasa akili huwa zinaji formati kabisa, sasa unakuta kidume ni rahisi kufanya muamala ukuamtumia mtu hela hata hujawahi muona genye banah, genye ingekuwa ni ugonjwa wa kichaa basi wanaume kila wakati tungekuwa vichaa huko mjini unapishina na jitu kavaa boxa tu ndiyo anaenda kazini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahhhNkasi ehh acha tu nije baby mbona sio mbali kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]We utakuwa paroko beby au ni yule paroko anae kula mifugo yake mwenyewe
na ww espy si anakudaiLabda nilete za kwqngu huyu jamaa hela hatoi
Nimeshafika shemeji mpenzi eeeh
[emoji41][emoji41]
Labda nilete za kwqngu huyu jamaa hela hatoi
Fanya haraka.Ngoja nichukue toyo kbs
Eeeh nambie shemeji umeshaomba talaka!Fanya haraka.
Mimi namlipaga kila siku sipendi ugomvi na shemeji kipenzi mimina ww espy si anakudai
Teh teh teh nipo vizuri, nachunga na kuzilinda kondoo zangu kwa kiwango cha lamiWe utakuwa paroko beby au ni yule paroko anae kula mifugo yake mwenyewe