Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Mwambie mtandao unasumbua ukitulia nitakutumia akikuuliza badae kama hauja tulia unamwambia niko mbali kidogo akikumbusha tena una mwambia niko kwenye kikao
Hizo mnawadanganyiaga watoto, mie mtu mzima, its either utume pesa au useme huna, of which ukisema hauna unajua matokeo yake, kwahiyo bora utume tu.
 
Back
Top Bottom