Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Usihofu ntakuja na mkweche wa baba!!! [emoji23][emoji23]Nakuja PM fasta. ila usiombe nauli tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu ntakuja na mkweche wa baba!!! [emoji23][emoji23]Nakuja PM fasta. ila usiombe nauli tafadhali
Sasa wewee mbona unataka kuleta competition. hivi kwanini mnalalia bahati za wengine mlango wazi?😡😡i wish i can paprika now![emoji1][emoji1][emoji1]
Hapo sawa, mafuta nitakuwekeaUsihofu ntakuja na mkweche wa baba!!! [emoji23][emoji23]
Bro naweza pata masomo mengine ya ziadaIKIMBIE ZINAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa wewee mbona unataka kuleta competition. hivi kwanini mnalalia bahati za wengine mlango wazi?😡😡
We niandalie juice tu!!! Natumia Ceres... Hayo ya mimi kufika huko ni juu yangu!Hapo sawa, mafuta nitakuwekea
room temperature au?We niandalie juice tu!!! Natumia Ceres... Hayo ya mimi kufika huko ni juu yangu!
Ceres gharama mi ntanunua maembe sterio temeke tuje tusage hiyo juice homeWe niandalie juice tu!!! Natumia Ceres... Hayo ya mimi kufika huko ni juu yangu!
Itanifaa sana!room temperature au?
Ukiwa na juicer au blender au ata kile cha kukwangulia nyanya itakua poa zaidi!!!Ceres gharama mi ntanunua maembe sterio temeke tuje tusage hiyo juice home
Vyote vipo karibu utachaguaUkiwa na juucer au blender au ata kile cha kukwangulia nyanya itakua poa zaidi!!!
Hapo umeniweza!!! Una friji au tutakunywa hivyo hivyo?Vyote vipo karibu utachagua
Sasa babe si umesema unataka room temperature ? ngoja niweke basi. mkate utakula au chipsi?Hapo umeniweza!!! Una friji au tutakunywa hivyo hivyo?
Hamna jamani!!! Ni swali tu!!! Nimeuliza nijue nitaitengeneza sa ngapi!!!Sasa babe si umesema unataka room temperature ? ngoja niweke basi. mkate utakula au chipsi?
mbona hufikii?Hamna jamani!!! Ni swali tu!!! Nimeuliza nijue nitaitengeneza sa ngapi!!!
Ivi huna jiko mpaka unilishe chipsi au mkate???
Niko njianimbona hufikii?
Aisee itabidi hili jukwa likupe awardNiko njiani