Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe.

NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
images%20(18).jpg
 
Hatutasema siri ya makomandoo wa Taifa kwa sasa , lakini wako poa sana , sasa unajua aliko Urio na yule muuza mbege ?
Siri gani isije ikawa mmewatapeli na kushindwa kuwapa hata mitaji ya kufungua biashara wakati mwenye kigoda wako yupo marekani huko akipigania Uraia pacha ili watoto wake wanaotumbua Ruzuku za chama waendelee Kura kwa mrija na kuleta uchochezi nchini
 
Mwashambwa huna ushahidi wa masuala ya ruzuku , jikite kwenye mambo unayoyaweza tu
 
Back
Top Bottom