Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

Mwashambwa huna ushahidi wa masuala ya ruzuku , jikite kwenye mambo unayoyaweza tu
Sasa ndugu yangu mlishapeleka wapi mamilioni yaa Ruzuku zote? Mbona hata milango ya ofisi mmeshindwa kuikarabati? Au Mlikuwa mnamlipa zote Mbowe alizokuwa anasema anawadai bila hata ushahidi? Ila kweli wajinga ndio waliwao na hakika mlishaliwa kwa miaka mingi Sana mpaka mmebaki mikono mitupu. Pambana ukabebage Mchele kyela na maparachichi Tukuyu uwapelekeage ufipa na kuwakopesha ili na wewe ulipwage Kama mbowe maana alishawaweka kamaa nyie wote Ni wajinga Sana,
 
Siri gani isije ikawa mmewatapeli na kushindwa kuwapa hata mitaji ya kufungua biashara wakati mwenye kigoda wako yupo marekani huko akipigania Uraia pacha ili watoto wake wanaotumbua Ruzuku za chama waendelee Kura kwa mrija na kuleta uchochezi nchini
Dadangu kura ndo kula?
 
Sina mengi yakusema ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja Kwa mbwembwe.

N. B. sina Chama ila siipendi ccm na serikali ya Tanzania View attachment 2456149
Yule jamaa maarufu kama Adamoo, siku moja nipo kwenye daladala ya Mbezi - Msata nikamuona na yeye yupo seat ya nyuma kabisaaaa amechapa usingizi mzito. Nikajiuliza maswali ina maana mlinzi wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini wameshindwa kabisa kumtafutia usafiri binafsi hata wa ki IST au Nissan Dual tu
 
Sasa ndugu yangu mlishapeleka wapi mamilioni yaa Ruzuku zote? Mbona hata milango ya ofisi mmeshindwa kuikarabati? Au Mlikuwa mnamlipa zote Mbowe alizokuwa anasema anawadai bila hata ushahidi? Ila kweli wajinga ndio waliwao na hakika mlishaliwa kwa miaka mingi Sana mpaka mmebaki mikono mitupu. Pambana ukabebage Mchele kyela na maparachichi Tukuyu uwapelekeage ufipa na kuwakopesha ili na wewe ulipwage Kama mbowe maana alishawaweka kamaa nyie wote Ni wajinga Sana,
Lugha hizo unazosema wewe zilishasemwa na wenzako wengi sana humu , lakini wakaishia kujificha kwa aibu , hata wewe nakupa wiki 2 tu kabla hujakimbia
 
Back
Top Bottom