mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
Kuna jamaa alioa mtumishi kwa ajili ya kusaidiana maisha akaanza kukashifu wote walioa wamama wa nyumbani, baada ya muda wa miaka 2 jamaa akaanza kalalamika ratiba za kupewa utamu kwa wiki mara moja tena kuna wakati kwa mbinde mpaka mwamba akawa anajichukulia sheria mkoni kwa kupanda mnazi na bajeti ya matumiz yote ikawa inamwangukua jamaa isipokuwa kusuka tu, sasa hivi anahangaika na maisha yake, talaka ishatoka tayari.