Mmoja kati ya wateja wangu alidai ameenda tcra kufuatili wakamwambia aende tigo ndio kuna tatizo. Alipoenda tigo wakamuambia hakuna tatizo labda aende tcra. Alivyorudi tcra tena wakamwambia aende tigo watume email tcra. Alivyorudi tena tigo wakamwambia kwao hakuna tatizo. Sasa mteja akabaki na changamoto ambayo haijatatuliwa. Na wapo wengi kama hao ninakutana nao. Kama unaweza kusolve hili hata kwa pm nitashukuru. Uzuri wa wateja wangu hela sio tatizo kwao.Je, unajua sababu ya NIN yako kublacklistiw..?

Akifika kwako mwambie kwanini anatutumia msg kwamba ile pesa tuma kwenye namba hii. Either hao ni matapeli wa mtandao ndo mana TCRA wameifungia NIN yake.Mimi ni mtoa huduma ambaye ninakutana na watu wenye tatizo hilo mara kwa mara. Ndio maana ninajaribu kuchukua uzoefu wenu wa kusolve hilo tatizo ili niweze kuwasaidia wahanga ikibidi.
Sawa sawa mkuuAkifika kwako mwambie kwanini anatutumia msg kwamba ile pesa tuma kwenye namba hii. Either hao ni matapeli wa mtandao ndo mana TCRA wameifungia NIN yake.
Shukran sana. Nitafikisha ujumbe kwa wateja.Kwa sasa ukipokea sms ya utapeli usiifoward au kumrudishia aliyekutumia
Wewe itume hiyo namba TCRA. Baada ya muda ukipiga ile namba haitapatikana
Mbuzi hizo siyo Kiswahili fasaha. Mbuzi haoAsante tcra block kabisa mbuzi hizo
Kama wewe ni mtoa huduma , huna bos wako? Huna mamlaka ya kuuliza? Piga hata 100 basi wao wana majibuMimi ni mtoa huduma ambaye ninakutana na watu wenye tatizo hilo mara kwa mara. Ndio maana ninajaribu kuchukua uzoefu wenu wa kusolve hilo tatizo ili niweze kuwasaidia wahanga ikibidi.
Hao watu kamata ni wale matapeli wa mtandaoniMimi ni mtoa huduma ambaye ninakutana na watu wenye tatizo hilo mara kwa mara. Ndio maana ninajaribu kuchukua uzoefu wenu wa kusolve hilo tatizo ili niweze kuwasaidia wahanga ikibidi.
Kwa sasa ukipokea sms ya utapeli usiifoward au kumrudishia aliyekutumia
Wewe itume hiyo namba TCRA. Baada ya muda ukipiga ile namba haitapatikana
Sawa mkuuHao watu kamata ni wale matapeli wa mtandaoni
Asante kwa ushauri mkuuKama wewe ni mtoa huduma , huna bos wako? Huna mamlaka ya kuuliza? Piga hata 100 basi wao wana majibu
+255222216900Namba ya tcra ipi?
15040 Tuma Ujumbe husika na Namba ya MtumajiNamba ya tcra ipi?
Hujamuelewa kasema yeye ni mtoa huduma tu na wenye tatzo hilo ni wateja sio yeyeMtoa mada wewe utakuwa ni wale raia tuma kwa namba hii
19910101372290001226 msaada wa kufungia nida yangu pls Mwenyewe kakukosea nin😂🤣🤣😂