- Thread starter
- #21
Mmoja kati ya wateja wangu alidai ameenda tcra kufuatili wakamwambia aende tigo ndio kuna tatizo. Alipoenda tigo wakamuambia hakuna tatizo labda aende tcra. Alivyorudi tcra tena wakamwambia aende tigo watume email tcra. Alivyorudi tena tigo wakamwambia kwao hakuna tatizo. Sasa mteja akabaki na changamoto ambayo haijatatuliwa. Na wapo wengi kama hao ninakutana nao. Kama unaweza kusolve hili hata kwa pm nitashukuru. Uzuri wa wateja wangu hela sio tatizo kwao.Je, unajua sababu ya NIN yako kublacklistiw..?